Simba Yashusha Kocha Mpya Mbrazil
Klabu ya Simba
imemtambulisha aliyekuwa kocha wa Vipers, Mbrazil Robertinho Oliveira (69)
kuwa kocha mpya wa Klabu hiyo, na atararajia kuaanza kukinoa kikosi hicho
mara moja baada ya kutambulishwa.
Utambulisho huo unafuatia
siku chache mara baada ya kocha huyo kujiuzulu kwenye klabu yake ya Vipers
aliyoipeleka hatua ya mkundi ya klabu bingwa Afrika.