Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri ya Kitaifa kuhusu Utekelezaji wa Ahadi za Nchi Kwenye Jukwaa la Kizazi chenye Usawa

Politics / 16th December, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri ya Kitaifa kuhusu Utekelezaji wa Ahadi za Nchi Kwenye Jukwaa la Kizazi chenye Usawa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 16 Desemba, 2021