Kinana makamu mwenyekiti CCM Bara.

Kinana makamu mwenyekiti CCM Bara.

Politics / 31st March, 2022

Halmashauri kuu ya CCM iliyoketi hii leo mkoani Dodoma imepitisha kwa kauli moja jina la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana kuwa Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara.

 

Kikao hicho kilichoketi chini ya mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan kimempitisha Kinana kuchukua nafasi ya Philip Mangula ambaye anastaafu.

 

Jina la kinana litapitishwa na wajumbe wa Mkutano mkuu maalum unaotarajiwa kufanyika April Mosi, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Mkoani Dodoma