TRA " KAMATA WOTE ''

TRA " KAMATA WOTE ''

Business / 27th January, 2022

TRA Mkoa wa Arusha inawatangazia wananchi wote kuwa kuanzia tarehe 1 Februari, 2022 itaanza kampeni maalum ya KAMATA WOTE ya (Asiyetoa na Asiyedai risiti ya EFD) ukaguzi utafanywa katika mitaa yote ya Mkoa wa Arusha. 

 

Muuzaji akikamatwa hajatoa risiti faini yake ni TZS 3,000,000 hadi TZS 4,500,000 na mnunuzi akikutwa na bidhaa isiyo na risiti faini yake ni TZS 30,000 hadi TZS 1,500,000.