Business
Rais Samia Afungua Mkutano Wa 13 Wa Baraza La Taifa La Biashara Katika Ukumbi Wa Hazina Jijini Dodoma
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.
Related News