UTT AMIS Yadhamini Kikao Cha Maafisa Habari, Mawasiliano Na Uhusiano Serikalini

UTT AMIS Yadhamini Kikao Cha Maafisa Habari, Mawasiliano Na Uhusiano Serikalini

General / 12th May, 2022

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikalini kinachoendelea jijini Tanga.

Washiriki wa Mkutano wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko wa UTT AMIS, Oliva Minja walipotembelea dawati la UTT nje ya ukumbi wa mkutano.

Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakiwa katika mkutano.