General
NECTA yatangaza matokeo kidato cha nne 2021

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021.
Matokeo hayo ameyatangaza Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde leo Jumamosi Januari 15, 2022.
Bofya hapa kuona matokeo NECTA 2021
Related News