Kampeni ya Umebima yazinduliwa Dar
Uzinduzi huo umefanyika katika eneo la Stendi ya Simu 2000 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa Biashara Manispaa ya Ubungo, Geofrey Mbwana, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Aikansia Muro (wa pili kushoto), Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis, Ian Meena (kulia) na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard (wa pili kulia).