BREAKING: Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia akiwa na umri wa miaka 90

BREAKING: Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia akiwa na umri wa miaka 90

General / 22nd April, 2022

Rais wa awamu ya tatu wa Kenya, Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.


Kibaki alikuwa Rais wa Kenya kwa muda wa miaka kumi kuanzia mwezi Desemba mwaka 2002 hadi mwezi Aprili mwaka 2013.


Kabla ya kuwa Rais wa Kenya alikuwa Makamu wa Rais wa Taifa hilo kwa muda wa miaka kumi kuanzia mwaka 1978 hadi mwaka 1988 wakati huo Rais akiwa Hayati Daniel Arap Moi.


Ali'zaliwa Novemba 15 mwaka 1931 katika eneo la Gaituyaini nchini Kenya.


Rais Uhuru Kenyatta. wa Kenya amelihutubia Taifa kufuatia msiba huo na kusema kuwa wamepoteza mtu muhimu.


 #RIP #MwaiKibaki