General
Aga Khan kwa kushirikiana na umoja wa Ulaya wamezindua jukwaa la mafunzo ya kidijitali kwa wataalamu wa afya.
Taasisi ya utoajii huduma za afya ya Aga Khan, Tanzania kupitia ubia wa kukabiliana na UVIKO-19 kati ya Umoja wa Ulaya na mtandao wa maendeleo wa Aga Khan imezindua jukwaa la mafunzo ya kidijitali kwa Wataalamu wa Afya.
Related News