LIVE EVENT
LIVE: Mhe.Rais Samia akipokea ripoti ya CAG pamoja na Takukuru - Ikulu, Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Ripoti ya TAKUKURU leo tarehe 30 Machi, 2022 Ikulu Chamwino, Dodoma.
Related News