LIVE: HALI YA UCHUMI NA KUPANDA KWA BEl ZA BIDHAA / Business

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wanazungumza na wana habari kuhusu Hali ya Uchumi na Kupanda kwa Bei za Bidhaa.