LIVE: RAIS SAMIA ANAFUNGUA DARAJA JIPYA LA SELANDER ( TANZANITE) / News

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi, 2022. #TANZANITE #DARAJA