#LIVE: Hafla ya utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini / News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya Uwekaji Saini ya Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba, 2021