LIVE: Mhe. Rais Samia akishiriki uzinduzi wa filamu ya Royal Tour - AICC, Arusha / News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa filamu ya Royal Tour katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa leo tarehe 28 Aprili, 2022.