BIZ tv Live / News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika hafla ya kuipongeza Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu kwa kufuzu kwenda Kombe la Dunia mwaka 2022, inayofanyika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Desemba, 2021.