General
NMB Yashiriki Kilele cha Wiki ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.
Related News