Business
Kampuni ya Meta imefanya mazungumzo na TRA kuhusu namna ya kutoza Kodi
Timu ya Wataalam wa Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya Facebookapp na Instagram pamoja na WhatsApp leo 21 Aprili, 2022 imefanya mazungumzo ya awali na TRA kuhusu namna ya kutoza kodi katika huduma zao nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Related News